Natafuta shule za kurudia masomo ya kidato cha nne dar es salaam na siyo centres.

Gokona

Member
Feb 16, 2010
62
9
wadau naomba mniambie ni shule zipi Dar es salaam mwanafunzi anaetaka kurudia kidato cha nne anaweza kupata nafasi ya kuwa full time darasani.Angalizo sio bora shule bali ni shule bora.
 
Ngumu. Lazima atafanya mtihani kama private candidate. Siku hizi huwezi kuidanganya system
 
Oh yes,hii ndio JamiiForums.
wadau naomba mniambie ni shule zipi Dar es salaam mwanafunzi anaetaka kurudia kidato cha nne anaweza kupata nafasi ya kuwa full time darasani.Angalizo sio bora shule bali ni shule bora.
 
wadau naomba mniambie ni shule zipi Dar es salaam mwanafunzi anaetaka kurudia kidato cha nne anaweza kupata nafasi ya kuwa full time darasani.Angalizo sio bora shule bali ni shule bora.
nakushauri peleka mada yako kwenye jukwaa la elimu.usipotumia jukwaa la elimu kwa mtu kama wewe mwenye mada kama yako atumie nani?
 
Back
Top Bottom