Natafuta shule za English Medium Tabora

Tuwe na uhakika na tunachokiandika wakuu! Themi hill ipo ipuli ipo jirani na St Francis de Sales! Ushauri wangu jitahidi sana umpeleke mwanao St Francis, Themi hill achana nao maana wale waalimu wote wazuri wametoka pale wapo Wakenya majitu ya hovyo kabisa! Au kuna shule mpya ipo karibu na Tumbaku hapa Manispaa inaitwa Istiqaama hao ndio wamebeba waalimu wote wazuri wa Themi hill, yupo Mzee mmoja Mwl anaitwa Sempombe alikuwa themihil na ndio maana walikuwa wanang'aa kila mwaka! Pia yupo dogo mmoj mchagga anaitwa Minja, yupo vizuri mno, mavyombo, Lipson, Yumbe hao wote walikuwa themi hill! Japo shule changa ila mwaka jana darasa la nne walishika nafasi ya 1 kiwila kati ya shule 73
Kimkoa 3 kati ya 600 na kitu
Kitaifa 46 kati ya 16749! Wapo std 6 kama sikosei na wanamisingi mizuri kwa madarasa ya chini! Nina mtoto pale grd 2!
 
Ahsante sana ..mtoto wako yupo boarding?kama hutajali mimi kuuliza
 
Nikienda ntaulizia nilikuwa na wasi nikihamia kule sitapata shule ya mtoto nzuri.happy now
 
Tuwe na uhakika na tunachokiandika wakuu! Themi hill ipo ipuli ipo jirani na St Francis de Sales! Ushauri wangu jitahidi sana umpeleke mwanao St Francis, Themi hill achana nao maana wale waalimu wote wazuri wametoka pale wapo Wakenya majitu ya hovyo kabisa! Au kuna shule mpya ipo karibu na Tumbaku hapa Manispaa inaitwa Istiqaama hao ndio wamebeba waalimu wote wazuri wa Themi hill, yupo Mzee mmoja Mwl anaitwa Sempombe alikuwa themihil na ndio maana walikuwa wanang'aa kila mwaka! Pia yupo dogo mmoj mchagga anaitwa Minja, yupo vizuri mno, mavyombo, Lipson, Yumbe hao wote walikuwa themi hill! Japo shule changa ila mwaka jana darasa la nne walishika nafasi ya 1 kiwila kati ya shule 73
Kimkoa 3 kati ya 600 na kitu
Kitaifa 46 kati ya 16749! Wapo std 6 kama sikosei na wanamisingi mizuri kwa madarasa ya chini! Nina mtoto pale grd 2!

ebwana hao st. francis ada yao (kusoma, kula na kulala) ni tsh ngapi? nataka kumpeleka kijana pale ajiunge darasa la sita.
 
Back
Top Bottom