Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
nimewahi kwenda hapo ila mazingira ni ya vumbi, ada kwa day ni laki6 usafiri unajitegemea, boarding ni mil1 na laki kadhaa ckumbuki. lakini ukimtoa mtoto international hizi za kawaida si itakua kumchanganya au anatumia sylabus ya Tanzania?
kuna scholastica nimesikia iko marangu au himo cjafika bado
hapana....hiyo scolastika na mie nimeickia, kama mazingia ni hayo hapana, ngoja nitaendelea na mchakato wa arusha...thnx mom.