Natafuta shori wa kula weekend

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Kwa jumamosi j2 tu......awe mkali ajue mapenzi sifa za tabia njema sizitaki
 
Unanikumbusha enzi hizo nawinda ndege,kuna ndege anaitwa "shore" au ndo huyo kabadili jina?
Mbona ni mdogo sana atakutosha hata mlo mmoja kweli?
 
Weekend2.JPG

Huyo Hapo Mkuu.
 
Nakuongeza sifa nyingine awe ameenda Loliondo na baada ya kurudi amepima.
 
Ahaaa yoyo umeshapata mkwanj maana last 2 weeks ulipost thread ya kupigika mbaya kabisa. Nenda IFM au Mabibo hostel, agiza castle lite kama round 3 utawapata tu hata ukitaka 9.
 
we yo yo ni mchina ama mjapani?? siunajua pa kuwasaka?? au umeambiwa humu JF wapo wanawake wa kufanya biashara ya mapenzi??

ila sisemi mengi, ngoja kama yupo nione!
 
lol...yo yo una viroja..kwahiyo hutaki kugandana sio?
sasa kila weekend ukiwa na pesa si itakuwa balaa mmh!!
 
Unanikumbusha enzi hizo nawinda ndege,kuna ndege anaitwa "shore" au ndo huyo kabadili jina?
Mbona ni mdogo sana atakutosha hata mlo mmoja kweli?
shawty bana......vip
 
Ahaaa yoyo umeshapata mkwanj maana last 2 weeks ulipost thread ya kupigika mbaya kabisa. Nenda IFM au Mabibo hostel, agiza castle lite kama round 3 utawapata tu hata ukitaka 9.

Mmmh,huu udhalilishaji wa wanachuo wa kike kabisa,kwanini usimwambie aende uwanja wa fisi wanapo jiuza?
 
Ubarikiwe mkuu.....haya makitu ndio mazuri aisee..hayagandi u spend u get.....j3 hamjuani
Ahaaa yoyo umeshapata mkwanj maana last 2 weeks ulipost thread ya kupigika mbaya kabisa. Nenda IFM au Mabibo hostel, agiza castle lite kama round 3 utawapata tu hata ukitaka 9.
tarehe mkuu....hujanotice tu?
 
Scan Tembo card, Master card yako iuonyeshe hapa. Bila shaka utampata...
 
WANA jf,u people are intelligent enough to read between the lines,.what yoyo means- he is looking for a man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom