vivian JF-Expert Member Nov 2, 2009 1,749 1,000 Jan 27, 2012 #1 jamani nina Ka GDI kangu ka 1998 milango mitano natafuta shock absorber( shokapu) za Mbele
M Makumbusho Member Nov 6, 2010 23 1 Jan 27, 2012 #2 kaka me kuna mtu anataka niuzia hii gar ya mwaka 2000.... Vp ikojeeee.... Je zina usumbufu wowoteeee?
kaka me kuna mtu anataka niuzia hii gar ya mwaka 2000.... Vp ikojeeee.... Je zina usumbufu wowoteeee?