Natafuta Semina inayohusu Micro credit/microfinance

Twaps

Member
May 26, 2011
50
28
kwenu wanadau,
Nahitaji kuhudhuria trainings na seminers zinazohusiana na mambo ya mikopo na nyingine zinazohusiana na hizokwa yeyote mwenye ufahamu ni wapi nitapata mafunzo au ni nani hua wanaendesha mafunzo hayo naomba anijulishe.Natanguliza shukrani zangu.
 
Back
Top Bottom