Natafuta sehemu ya kufanyia field ya masomo yangu katika media

Fndibalema

New Member
Feb 29, 2012
3
0
Naitwa Florence B. Ndibalema wa chuo kikuu cha Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia field yangu mnamo mwezi wa sita tar 25 hadi mwezi wa nane tar 17 hivyo kwa yeyote mwenye msaada wa kunipa hasa katika television stations and radio maana nasoma B.A in Fine and Performing Arts(THEATRE,TV PRODUCTIN&CINEMATOGRAPHY) MAWASILIANO :florencendibalema@yahoo.com au 0657984647.nitashukuru kwa msaada:A S 465:
 
Tembeza CV pamoja na maombi ktk radios na TV stations za ndani utapata.Wengi wanaogopa kutoa nafasi sababu hawana hela za kulipa wana chuo kama posho. Kazi kwako.
 
Back
Top Bottom