Natafuta rafiki wa kiume company tu

Urafiki huu ni wa kufikirika.Ila nakutakia kila la heri.
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.
 
dada una NGOMA nini? Usije ukatuua buuuure.
 
duh hapa ni kutafuta lawama maana mwisho wa siku itakuwa zaidi ya urafiki
 
kwa hivyo vigezo labda sharobaro.Ruhusu jig-jig hata saa nane za usiku nitakusindikiza na hakuna wa kuniuliza.
 
Hivi maskini,wasio na gud looking na makabwela watakua na urafiki na nani?Aaaaqqghrrhh!
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.

Kwa hiyo hata kama nimeoa na wewe unataka nikusindikize sehem niwe tayari kuacha familia yangu nitoke na wewe,dada unatazama sana muvi,badili hobby,soma vitabu,angalau kupunguza upweke wako.
 
Sal,Umejitahidi kuREmba-REmba tumaneno twako lakini kuna sehemu umeshindwa na sisi hapo hapo tukajua nini nia yako haswaa kwa rafiki huyo wa kiume unaye msaka jamvini. Any way,ndoana ikinasa tujuze..,samaki wakitorosha chambo bila kunaswa tujuze pia.
 
we dada unahitaji msaada wa kipsychology kabisa! na kushauri upate usingizi wa kutosha na kucha kuangalia movie za watu walio umizwa mioyo! u shuld consult doctor! Amani kwako!
 
Hivi maskini,wasio na gud looking na makabwela watakua na urafiki na nani?Aaaaqqghrrhh!

money first brother.. trust me leave girls alone, find money and you will be happy!! get to be with them. i mean any one u want
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom