Natafuta rafiki wa kike,wawe wa university of dar,mkwawa,duce.ruco na tumaini iringa ,piga no+255712

Hiivi unafikiri utapata mtu unayemtaka hapa? Jaribu kutafuta muda umtafute physically, punguza ubusy wa kazi zako. Pata japo masaa mawili ujichanganye sehemu za watu utakutana nao wengi tu labda kama huwezi kutongoza.
 
duh mambo ya bodi ya mikopo , haya unaowahitaji wa mwaka wa ngapi???
 
Mods angalieni upya utaratibu wa kujisajiri humu jamvini, at least mtu awe na uthibitisho kwamba ana umri zaidi ya miaka 18, na ka-registration fee kidogo

maana siku hizi kuna vioja sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom