Milles Montego
Member
- May 31, 2021
- 95
- 279
Habari ya muda huu, matumaini yangu nyote ni wazima.
Binafsi namshukuru mungu ni mzima wa afya.
Lengo kuu la uzi huu ni nahitaji mtu mwenye pikipiki au mwenye uwezo wa kununua pikipiki tufanye biashara kwa mkataba usiozidi miezi sita niwe nimerudisha pesa ya pikipiki na faida kidogo.
Binafsi kazi yangu ni Process server na ni Court Broker. Ninasambaza barua na nyaraka za mahakamani na kutoka katika law firms mbali mbali hapa dar as salaam.
Kwa mizunguko yangu nahitaj pikipiki ili kukamilisha kwa wakati.
Hivyo basi ninauwezo wa kulipa kwa siku mpaka shilingi 15,000 au 20,000 kutokana na mzunguko wa kazi zangu.
Kwa yeyote mwenye pikipiki au anayeweza kununua pikipiki Niko tayari kuingia naye mkataba na kulipana bila tatizo lolote.
Udhamini upo wa kuaminika na ni wa uhakika.
Kwa maelezo zaidi na makubaliano mawasiliano yangu ni 0623900700.
Tusaidiane nipate na wewe pia upate.
Ahsante.