Natafuta nyumba ya kupanga

5star Hall

New Member
May 1, 2011
2
0
Natafuta nyumba ya kupanga ya kujitegemea iwe na vyumba viwili au vitatu..master na kawaida,sebule,dining, jiko na parking mitaa ya kinondoni,mikochen,kijitonyama,
makumbusho,kurasin,tabata,mivinjen,sokota.
 
Nenda kawaone madalali pale manyanya kinondonì
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom