Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 234
Natafuta nyumba ya kupanga iwe maeneo ya sinza, Mikocheni au Kijitonyama. Iwe ya vyumba vitatu (au hata viwili), Sitting room, dining room, jiko na stoo. Iwe na choo na bafu ndani. Iwe inaeza kufikika kwa gari na iwe na uzio (wa aina yeyote, Ukuta, michongoma au seng'enge) na Geti. Budget yangu maximum laki 3 kwa mwezi; terms of payment flexible. mwenye taarifa anaeza kuni PM, but please ningependa kudili na mwenye nyumba sio middleman/dalali