Natafuta nyumba ya kupanga DSM

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Ndugu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ilala au Magomeni. Nyumba iwe yenye vyumba viwili vya kulala na sitting room na jiko. Naomba msaada wenu ndugu.
 
hivi hii thread inastahili kuwa Breaking News????. acha hizo Banaa
 
ilala au Magomeni? unataka kufungua biashara au?, mimi sijuhi kwa nini mtu akiseama ilala au Magomeni mawazo yangu yanakimbila Amana club, Traventine/lango la jiji na mambo ya taarabu na pilika kama hizo,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom