Natafuta nyumba ya kununua.

NSAMY

New Member
Jul 16, 2011
4
0
Nyumba ya gorofa kwa ajili ya kuishi inahitajika. Iwe maeneo yasiyo na msongamano kama vile Mbezi beach, Tegeta, Boko, Kijichi, Bunju, Tabata na maeneo mengine yenye tabia kama hizo. Piga 0786 046 484 au email gmwiga@yahoo.com
 
Wasiliana na jamaa mmoja yupo humu humu JF anaitwa Kitomai1ni mtaalamu wa deal kama hizo!pia kama una mkwanja wa kutosha kuna maghorofa yanauzwa hapo mbezi beach kwenye round about ukishuka africana!kama unaenda Whitesand!ila ujiandae manake bei zake zimeenda shule!search humu kuna matangazo mengi tu ya huyo Kitomai.
 
Back
Top Bottom