Natafuta nyumba ya kukodisha dar yenye kila kitu ndani

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
MSAADA....... MSAADA....... MSAADA....Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye infomesheni. Isipungue vumba vitatu, iwe na kila kitu ndani. nijulishe na gharama zake.
 
Jaribu Mlimani City japo bei sina hakika lkn it was about USD 1500 Per Month.
 
Back
Top Bottom