Natafuta nyumba ya kufanyia Biashara Arusha

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,586
4,274
Mjomba wangu anatafuta nyumba ya kufanyia biashara Arusha.
Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk)
Nje kidogo ya mji
sifa:
  • Eneo liwe lenye Usalama
  • Eneo lenye mzunguko (wanaojua biashara wanafaham)
  • Karibu na shule/kanisa/taasis nk
  • Anaweza kulipa kodi kati ya shs 50 na laki moja kwa mwezi kulingana na eneo lililo patikana.
  • Kama mtu ana duka anataka kuachana nalo anaweza kuwasiliana naye wakaongea.
Akipatikana mtu nitampa namba za mawasiliano ya moja kwa moja waongee.
 
Unapajua maji ya chai? Ni nje ya mji, chunguza ukipapenda ntakuunganisha na mtu
 
Back
Top Bottom