Mabagala
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,477
- 325
Jamani mwenye simu ya Nokia N82 na anaiuza naomba anijulishe kwa namba 0713589106 au aniandikie kwa pascalmabagala@gmail.com. au kama kuna duka ambalo naweza kupata simu ya namna hii pia naomba mnijulishe, nimejaribu kuulizia baadhi ya maduka hapa darisalam sijapata.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani