Natafuta nafasi ya kufanya mafunzo kwa vitendo (interniship)

luvie pearl

Member
Jun 20, 2019
91
65
Habari zenu wote...!
Naomba kufahamishwa makampuni au maeneo yoyote (serikalini na maeneo binafsi) ambayo yanatoa nafasi ya kufanya mafunzo kwa vitendo (interniship) na utaratibu wa jinsi ya kuomba. Asante
 
Search kwenye google. FURSAKAZI BLOG. Na uangalie kuna matangazo ya ajira na ya internship pia
 
Andaa CV za kutosha upeleke kwenye mabenki, mfano crdb makao makuu, nmb, kcb, nbc, nk.
Uwe kila baada ya week kadhaa unafatilia kujua kama walipokea maombi yako au unaweza ukatuma tena. Kuna mtu alifanikiwa kwa kufatilia sana application zake na saiv yupo mjengoni crdb anakula maisha.

Ukifanikiwa utumbuke wana JF
Habari zenu wote...!
Naomba kufahamishwa makampuni au maeneo yoyote (serikalini na maeneo binafsi) ambayo yanatoa nafasi ya kufanya mafunzo kwa vitendo (interniship) na utaratibu wa jinsi ya kuomba. Asante
 
Andaa CV za kutosha upeleke kwenye mabenki, mfano crdb makao makuu, nmb, kcb, nbc, nk.
Uwe kila baada ya week kadhaa unafatilia kujua kama walipokea maombi yako au unaweza ukatuma tena. Kuna mtu alifanikiwa kwa kufatilia sana application zake na saiv yupo mjengoni crdb anakula maisha.

Ukifanikiwa utumbuke wana JF
Asante
 
Back
Top Bottom