Natafuta mwenye LINUX SUSE 11

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Wanajamii wenzangu naomba msaada kwa mtu mwenye OPEN SUSE 11, nataka niinstall kwenye computer yangu na kudownload ni kubwa sana(4.3GB).
Nitashukuru.
 
Wanajamii wenzangu naomba msaada kwa mtu mwenye OPEN SUSE 11, nataka niinstall kwenye computer yangu na kudownload ni kubwa sana(4.3GB).
Nitashukuru.

..inabidi ueleze zaidi unataka yenye sura ipi [graphical display],gnome au kde.

..hebu nenda hapa....The Perfect Desktop - OpenSUSE 11.1 (GNOME) | HowtoForge - Linux Howtos and Tutorials.

..hii haitafika hata 1 gb na hiyo tutorial itakusaidia. my guess is, watumiaji wa open suse bongo ni wachache sana,achilia mbali upya wa hiyo distro.

..kama sijakosea,kwenye website ya opensuse.org unaweza jaza fomu fulani ndefu hivi inayohitaji maelezo ya kuudhi. ukiijaza jamaa watakutumia cd/dvd bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom