Natafuta mwanamke wa kuishi na kuwa mke baadaye

Ukiona mwanaume anataka mwanamke yeyote ujue ni nyege zinamsumbua huyo.
Nyege zako zikiisha utamuacha huyo mwanamke wa miaka 40+.
Na huo ni uongo yaani utake mtu kakuzidi 10+ yrs willingly kabisaa.
 
Aiseee Poleni sana
Nimezoea kulipa bill ya mwezi, ngoja nijiandae na maumivu.
Hizo zipo, home wifi.. ubaya sasa ukitoka hapo nyumbani huko nje utatumia nn?

Naweka 30k, linaisha week ya pili.. naongeza tena. Voda wanachuna balaa
 
Habarini mimi ni mgeni humu.
Nimetokea kuupenda huu mtandao
Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi 👇🏾
MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi sio sana, sina uhuni ni mstalabu
Kabila: Mmeru
Umri: 30
Dini: Mkiristo
Elimu: La 7
Kazi: Kubeba tofari/Saidia fundi/ulinzi
MAkazi: Darisalam

Vigezo vya Mwanamke/msichana nayemtaka:
1.Umri kuanzia miaka 17-45
2. Elimu yoyote
3. Dini yoyote sibagui.
4. Kazi hata asipokua na kazi ni sawa
5. Mtoto akiwa naye awe mmoja tu
6. Rangi yoyote, awe na shepu kiasi au zaidi, sura sio lazima
7. Awe Darisalam au awe tayari kuishi Dar

Karibuni kama kuna mtu ana ndugu yake au dada yake basi unaweza kucheza kama agent.
naona umesaliti chama
hongera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom