Ameen, Mtumishi.Mungu akupe hitaji lako mpendwa
Kama mlokole kweli Mungu unamtumikia Mungu kweli Mungu akubariki sana na kukufanikisha ,lla kuna type ya walokole wamejificha tu humo wana mambo yao mengine meusi hao naona ndio dada hawataki.Walokele wanatengwa jamani
Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Nipe basi naombaMimi sina sifa hizo, ila nina marafiki zangu wenye sifa hizo, ntakupa mmoja
Mungu na akupe haja ya moyo wako! Muombe sana Mungu, Ikibidi funga, omba toa na sadaka maalumu kwa ajili ya kupata mume sahihi!Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
NA asiwe mlokole1. Unataka mume.
2. Awe dini yako.
3. Awe na kazi.
4. Asiwe na mtoto.
5. Awe mweli.
6. Akuzidi kipato.
7.Asiwe mrefu sana.
8. Awe mkarimu kwa wote.
9. Awe na heshima
10. ASIWE NA MAMBO MENGI! (wakati wewe tayari ushataka awe na mambo mengi)
Ukipata wa sifa hz niite mbwa nmekaa paleNina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi.
Kazi yangu ni mjasiriamali.
Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu wakupitiliza na asiwe mrefu sana.
Nataka awe anakazi, aeleweke,asiwe namtoto , asiwe na mambo Mengi. Nipo serious kuolewa nikimpata wakweli . Asanteni .
Nimempata handsome sana na ni gentlemen ila sio humuUkipata wa sifa hz niite mbwa nmekaa pale
Hongera sanaNimempata handsome sana na ni gentlemen ila sio humu
Asante sana ndio maana nimetuliaHongera sana