Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri
na ndoa unataka humu humu ifungwe au
 
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri
Tuma CV yako na picha ukiwa umevaa vazi la ufukweni please! Tupo wengi waoaji kinachohitajika ni vigezo. Fanya fasta Mama.
 
Embu tuasume wewe ni gari na uko sokoni....Sisi serious buyers tungependa kujua yafuatayo;-

  • Kwamba wewe ni model ya mwaka gani?
  • Made in wapi?
  • Kwamba wewe ni manual (kwa matumizi ya shamba tu) ama ni auto (kote kote i mean)
  • Mashine inasoma ngapi kwenye dashboard(kwa maana ya umedate mara ngapi)
  • Umewahi kushusha Engine/umewahi kufanya over hall (kutoa mimba)- kama ndio mara ngapi?
  • Mara ya mwisho umefanya service lini(Kupima)
  • Na kwamba ni watumiaji wangapi walipata kumiliki gari hili/kuoa.
  • Taja sifa za ziada kama mwendo wako kwenye 6/6.
  • Body type
  • Colour
  • Una turbo kidogo ama ni flat clossed saloon.
babulai.wewe noma hutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia?
 
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri

nasty what do you mean,...? afu akifukuzwa kazi itakuaje,..[HASHTAG]#curious[/HASHTAG],Mimi nadhan your being selfish,and hautafti mme wewe unatafta Boyfriend
 
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri
nipo tayar naomba unitumie contact plz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom