Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri

Mimi bado niko kwenye early 30's, nakaribishwa? Haujaweka wasifuu wako bibie.
 
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri

Wewe uko size ipi aseee. Nitafute tuongee kwa namba +4915175161643. Sio namba ya jini hii, maana huku wazungu sio wakali sana.
 
25yrs unataka me wa 40yrs! Mm nina 33yrs ni saiz yako kabisa na vigezo vyote ninavyo, ila namzimikia sana miss chagga japo naogopa kumtongoza! Hebu nipe vigezo vyako vinavyoweza kunishawishi upendo wangu nikauhamishia kwako!

miss chagga kamata fursa tafadhali. Mjumbe hauwawi lakini.😁
 
Last edited by a moderator:
Kila MTU anamapungufu yake, unaweza pata mzuri kitandani lakini si mcha Mungu ni chapombe au choriii, hivyo chagua kimoja awe mcha Mungu au mzuriii kitandani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom