Natafuta mume jamani mbona sipati

Huyu binti ni kweli anahitaji mume!..kahangaika sana kuanzisha thread nyingi humu!..asaidiwe
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Utakuwa na kasoro tuuh! Tumia sampuling za mmu jf wanaume wengi wanatafuta wake! Shida kubwa utakuwa hujitambui..!
 
Hivi nyie wanaume ambao kila uzi wa anayetafuta mume/mchumba mpo huwa 'hamfanikiwi?'
Miaka nenda rudi...
Hao akina marahaa1 ni midume tu. Hivyo wanaume WA ukweli wanaotafuta ndito hawapati wanaendelea kutafuta maana unaambiwa ukichoka umeishapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom