Natafuta mtoko wa pasaka

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
Paska ndo hiyo imekaribia hadi dakika hii bilabila msema ukweli mpenzi wa mungu
jamani bila aibu wala kificho natafuta mtoko wa pasaka nakaribisha mialiko mbalimbali then ntaifanyia procurement na mshindi wa ataibuka nami kwenye mtoko wa pasaka kuanzia ijumaa kuu hadi jumatatu ya pasaka
niko sirias karibuni:welcome:
ndimi
sakapal lady.:A S kiss:
05/04/2012.
 
Karibu sana,lakini masharti ni:
1. Usiwe under age
2. Uje umevaa msuli
3. Skin tight au boxer strictly prohibited ilizoezi zima liwe rahasi
4. Mzee upara atakuwa anapakuwa msosi. Kama unataka ndizi utiliwe,wali upakuliwe au muwa ukatiwe utapata.
 
Karibu sana,lakini masharti ni:
1. Usiwe under age
2. Uje umevaa msuli
3. Skin tight au boxer strictly prohibited ilizoezi zima liwe rahasi
4. Mzee upara atakuwa anapakuwa msosi. Kama unataka ndizi utiliwe,wali upakuliwe au muwa ukatiwe utapata.
 
xo much welcome....... Masharti ndo haya:::::;;;
1) uvutie kimwonekano
2) story kwa wingi
3) ucwe mwoga kwenye kuxpress maneno???!!!
4) uwe umependeza mpaka mwenyewe nijihisi niko na ww tu duniani
 
asanteni sana kwa mitoko yenu ila nilibahatika kupata wa mmoja mzuri sana ambao niliinjoy mno hata nikasahau kama leo ntakanyaga ardhi kuja job maana tangu ijumaa sjakanyaga chini nilikuwa nabebwa juu juu lol! shurtu kulishwa nn kupakuliwa namungunyiwa miye nameza tuuu lol! kama hujafaidi wik end hii basi pole yako miye nipe hongera kwani ilikuwa raha raha tuuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom