Natafuta msichana wa kuoa

Uwii nlikua sijafikiria jina!Hapa ntamwomba nibaki na lakwangu!

HA HA HA HA HA HA
Mbona jina zuri tu
Tena utachukua majina yake yote
Lizzy Master Detectie Junior Member
 
Kweli aisee ngoja niondoke maana nimeshaambiwa SIWEZEKANI!

Sasa hapo utaonekana hauko serious kweli, angesema mhusika kwamba hauwezekani sawa
Chukua mume huyo, acha kutafuta pa kutokea wakati umeomba mwenyewe
 
Sasa hapo utaonekana hauko serious kweli, angesema mhusika kwamba hauwezekani sawa
Chukua mume huyo, acha kutafuta pa kutokea wakati umeomba mwenyewe
Naogopa kushindikana maana wa sasa hivi tu ananipiga chenga!
 
Huyu nae
Kila sifa hana
Hata useme nini atakwambia hana
Utataja sifa 7 atakwambia sifa zote anazo isipokuwa namba 1 hadi 7 ndio hana

ha ha ha! Umeamua kunichana live.
Haya bwana.
 
kaka ujiamini tatizo li wap ukiwa wa mbeya? mbona mi mnyaki na nabang kama kawaaa yaaan No Newz................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom