Natafuta msichana wa kuoa

Kigezo kimoja tu kimenikosesha mchuchu! Dah.

Huyu nae
Kila sifa hana
Hata useme nini atakwambia hana
Utataja sifa 7 atakwambia sifa zote anazo isipokuwa namba 1 hadi 7 ndio hana
 
wana jf pocbo mshkaji yupo serious sana siyo fresh kumtania, especial lizzy na michelle nyie siwawezi.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom