queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 75
Niko Dar, naishi na mtoto wa nursery anajielewa. Naitaji mdada mwaminifu wa kua msaidizi wa kazi za ndani na kumuandaa mtoto asubuhi aende shule.
Mara nyingi ni mtu atakayebaki na mtoto na nyumba kutokana na kazi zangu. Nahitaji mdada mwaminifu.
Kwa yeyote mwenye kufahamu mtu anayeitaji nijulishe popote mkoani ntatuma nauli.
Mshahara 40,000