Natafuta mpiga Gitaa la Solo na Spanish na wadada wawili wanaoimba Western Covers

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Habari wana JF,

Natafuta mpiga Gitaa la Solo na Spanish: Awe anajua Gitaa haswaa, sio ubabaishaji. Pia wadada wawili wanaoimba Local & Western Covers (nyimbo mpya na za zamani zinazopendwa). Naomba wawe na uzoefu na shughuli za Band, kutumbuiza kwenye 5 star Hotels n.k.

Kama ni wewe au unamfahamu mtu, plz niPM namba za simu kwa mawasiliano.
 
Kuna Dada mmoja wa Kiganda alikuwa akiimba kwenye bendi ya Calabash Pub atakufaa sana.
Kwa sasa hayupo ila unaweza kupita hapo labda utapata namba ya simu
 
Najaribu kukupm nashindwa. Kuna mmoja namfahamu atakufaa kwenye kuimba covers
 
Unalipa vizuri nikupe mafundi ? Manake nyinyi wenye band Mara nyingi mnawanyonya sana wasanii..!
 
Kuna Dada mmoja wa Kiganda alikuwa akiimba kwenye bendi ya Calabash Pub atakufaa sana.
Kwa sasa hayupo ila unaweza kupita hapo labda utapata namba ya simu
Yule dada alikuwa yupo powa sana , mara ya mwisho alikuwa anatumbuiza akiwa ni mjamzito inawezekana analea sasa iv.

Duc in Altum
 
mpiga solo tafuta Dogo instagram au Facebook anatumia jina la Emmanuel gripa alimaarufu kama emmasolo huyu ni balaa, ukishindwana naye kuna mdogo wake anaitwa Sam gripa anaweza akakufaa, pia Facebook tafuta mtu anaitwa nahum Gideon, au Emmanuel mopao

WaPo wengi haswa makanissani sijui kama utaweza kufikia Bei zao na conditions mtakazofikiana

wengine ni samboya Sam yonah ila hawa wote Wana studio zao pamoja na emmagripa sijui kama watakuwa tayari Kufanya kazi chini ya band ya mtu kwa Muda mrefu
 
0718605622..Mkuu huyu ni yule dogo wa kuimba! Mpigie Mtajie jina langu tu kama kawa! Halafu Mwambie anitafute nimpe gita, linanijazia tu nafasi.
 
Habari wana JF,

Natafuta mpiga Gitaa la Solo na Spanish: Awe anajua Gitaa haswaa, sio ubabaishaji. Pia wadada wawili wanaoimba Local & Western Covers (nyimbo mpya na za zamani zinazopendwa). Naomba wawe na uzoefu na shughuli za Band, kutumbuiza kwenye 5 star Hotels n.k.

Kama ni wewe au unamfahamu mtu, plz niPM namba za simu kwa mawasiliano.
Sorry.!
Mimi ni SOUND ENGINEER na SOUND RECORDING (Producer) na nina experience na kazi iyo kwa miaka7. Please kama unahitaji huduma yangu naomba unipe nafasi maana ndo kwanza nimemaliza chuo na ajira ngumu.
Thanx in advance

+255 718 515171
 
Back
Top Bottom