Natafuta mpenzi wa kike ambaye kama itapendeza tutafunga ndoa

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,930
Hello,

I hope you are all fine,poleni na Majukumu ya hapa na pale back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a Boy,miaka 30
Kimo- mrefu, rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 20 na kuendelea
Kimo- mrefu wa wastani
M.status-awe single hasiwe na mtoto
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Elimu: Form six/Diploma na kuendelea
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Niwatakie Jumatano njema.
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Majukumu ya hapa na pale . back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a Boy,miaka 30
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 20 na kuendelea
Kimo- mrefu wa wastani
M.status-awe single hasiwe na mtoto
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Elimu: Form six/Diploma na kuendelea
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Niwatakie Jumatano njema.

Punguza masharti nikupe mdogo wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom