Natafuta moderm za internet za tigo, voda ama airtel

eliangikundi

New Member
Apr 11, 2010
3
0

wadau,

Natafuta moderm za internet za tigo, voda ama airtel kwa mtu ambaye haitumii tena. bei nitakayonunulia ni sh10,000 kwa moja. kama kuna mtu anazo naomba anipigie simu kwenye +255 715 408 233. Nitashukuru sana.

eliangikundi
 
Airtel tsh 10,000 bora iozee gheto. Tigo utapata lakini mi nauza tsh 15000.
 
we unataka kuibiwa wewe,nakuomba kama unataka modem nzuri na waranty ya miezi sita piga simu no.0655524444 au njoo uhuru computers kariakoo kongo mtaa wa uhuru
 
Back
Top Bottom