Natafuta mkopo wa tshs 500,000/=

mangulumbwisi

Member
Apr 19, 2012
77
22
Habari wana JF, ninashida jamani ya mkopo wa laki tano, kwa anayejua ninaweza kupata kwa riba nafuu kidogo.
 
Habari wana JF, ninashida jamani ya mkopo wa laki tano, kwa anayejua ninaweza kupata kwa riba nafuu kidogo.

Wapo ila lazima uwe na wadhamini wa kueleweka,wawe na vi-mali fulani vitakavyomfanya mkopeshaji aridhike navyo,Pia riba hiyo nafuu unataka iwe ya kiwango gani?
 
Stephot asante kwa majibu yako! wadhamini wanatakiwa wawe wangapi? pia marejesho yanakuwaje? kwa mkopo wa laki tano, asante
 
Riba ni 10% kaka ndiyo nafuu hiyo.ina maana kwa 500,000/= utarejesha 550,000/= baada ya miezi minne.
 
nenda nmb kama ni mtumish wa umma huna haja ya wadhamini nenda na salary slip za miez 3 ya mwisha ndani ya siku 2 unapata hela.
 
Kawaida mtu anayetafuta mkopo ni muhimu kuelezea dhumuni la mkopo,dhamana ambayo unayo, uwezo wa kurudisha, utarejeshaje mkopo, vinginevyo mkopeshaji atakuwa na wasiwasi mwingi juu ya integrity and viability ya zoezi la kukopesha.
 
Sema unataka kufanya biashara gani. mimi naweza kusaidia bila riba kama kweli wewe ni mwaminifu na mwanachama hai wa JF kwa ujumla. Je vipi umesha tembelea JF SACCOS?
 
Prime asante, sijatembelea, JFSACCOSS, ila nitatembelea leo, nitashukuru endapo utanisaidia, kuhusu swala la uaminifu haina shida.Kuna biashara nilikuwa naifanya ila msingi ulikuwa mdogo . Sasa nataka nieendeleze tena kwani wateja wangu wapo mkoani wananiomba niwatumie hiyo biashara ni Vitenge vya wax original, ni PM. asante
 
Mkuu unafanya biashara ya kukopesha mali, cash on delivery or malipo kwanza then mali? If your business is still growing you have to deal with cash only. Lakini i suggest kwanza tembelea Jf Saccos from there ndio twende atua nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom