Natafuta wanunuzi/soko la dagaa kutoka Tanga aina ya Uwono

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
318
662
Habari wana JF,

Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.

9793A6F2-A747-4A3A-BA42-E76F7BA56B90.jpeg
 
Chukua tenga, funga kwenye baiskeli, miminia uono ndani, funga kengele, pita mitaani tangaza uonooo uonooo! Ndivyo wanavyofanya wenzako kule Kange Kasera na Kange Uzunguni, Tanga.
 
Chukua tenga, funga kwenye baiskeli, miminia uono ndani, funga kengele, pita mitaani tangaza uonooo uonooo! Ndivyo wanavyofanya wenzako kule Kange Kasera na Kange Uzunguni, Tanga.
Huu wa tofauti kidogo. Ule unaouzwa kwa kutembeza ni mbichi straight kutoka baharini. Huu umekaushwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom