Natafuta mke

Duh! Kwa maandiko haya mke bora huwezi pata, kwani atagundua kuna walakin kwako, lakini kwa kilaza waweza pata mana hata gundua lolote kwako, anyway kila la heri mkuu. Kadokezo tu, nliwah tafuta hum jf mke, yani nliishia kupata mademu tu na siyo wake na mengine mengi tu, ukitaka kujua ntaku Pm
Kila mtu na bahati yake bwana usimkatishe tamaa mwenzio!
 
Specifications;miaka 27 nachini yahapo,awe nakazi serikalini(yoyote),mrefu namweupe au maji yakunde....mm nafanya kazi serikali nanimwaminifu,,mdada mwenye sifa hizo nayuko serious nandoa ani pm....niko serious nataka kuoa!!!!
Halafu akija kukusumbua uanze kuja na mada zenu za huzuni hapa
 
quote-Brody-Armstrong-when-you-meet-someone-for-the-first-61426.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom