Natafuta mke

BlackBella

Member
Aug 10, 2012
28
10
Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke anaeitaji mume,sina ubaguzi wa umri,dini,kabila,rangi,kwa ufupi sina ubaguzi wowote.
 
Urefu wako
umbile lako
makazi yako
kazi yako
elim yako
kabila lako
mshahara wako
madeni yako
utajiri wako
uraia wako
 
Leo wachumba mkose wenyewe ukimaliza huyu kuna wa 40 and above, bahati hizi wadada hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke anaeitaji mume,sina ubaguzi wa umri,dini,kabila,rangi,kwa ufupi sina ubaguzi wowote.

BlackBella kwa miaka 44 uliyo nayo ni lazima uweke historia yako wazi zaidi. Kwa mfano, huna mke lakini watoto huna? Unataka mke wa umri gani specific maana kusema huna ubaguzi na umri ina maana hata mwanamke zaidi ya 45 years anakufaa? Fahamu kwa umri wako kuoa say binti 20s ni hatari kidogo kadri umri wako unasogea!! Na kama unataka mwanamke ambaye umri si kigezo ina maana hata wamama wenye watoto wanaweza fall under your choice!!! Is is fine with this? Ulitakiwa kujieleza kidogo zaidi. Haya ni maoni yangu.
 
Smile hapa full kudekezwa....ameshaizunguka dunia nzima huyu

Tamatheo acha utani!! Kuna wa umri huo unakuta wameshindikana kabisa kwa tabia!!! That is hawawezekaniki na wanawake wanachapa lapa!! Sidhani kama BlackBella ana tabia mbaya!!
 
Mmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!! sijui labda kweli maana wakale walisema "N'gombe hazeeki maini"
 
Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke anaeitaji mume,sina ubaguzi wa umri,dini,kabila,rangi,kwa ufupi sina ubaguzi wowote.

My God!!!! 44yrs! Ehee...hebu jieleze zaidi, kabla ya hapo mke uliyekuwa naye ilikuwaje au watafuta mke wa pili au wa tatu au ka-small house?
 
Naitwa BELLA,ni msichana wa miaka 18,natafuta kazi yoyote ile,ninaweza kuzungumza vizuri lugha ya KIINGELEZA,KIFARANSA NA KIITALIANO,nipo DAR ES SALAAM,elimu yangu ni FORM SIX,naomba tuwasiliane kwa email adres ifuatayo blackbella94@ovi.com
 
Blackbella ni shemale?!!! Mara ni mwanaume anatafuta mke mara ni msichana anatafuta kazi!!!! Mmhh..
 
Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke anaeitaji mume,sina ubaguzi wa umri,dini,kabila,rangi,kwa ufupi sina ubaguzi wowote.

Ndugu huyu ni shida jana saa 15:58 alikuwa na miaka 46 na alikuwa anataka mtoto wa kike wa hiari,leo ana miaka 44 anataka mke ni shidaa
 
hiyo post ni ya mwaka jana, labda cha muhimu angetujuza kama alishapata mke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom