Natafuta Mke

Natafuta mke wa kuoa
  • Dini mkristo / uwe mkristo
  • Mchaga / kabila lolote
  • Naishi Dar/ usiwe nje ya Dar
  • Natafuta mke kuanzia 24_30
  • Sina mtoto/ ukiwa na mtoto asizidi mmoja
  • Mwajiriwa / km uja hajiriwa hakikisha uwe na shughuli ya kufanya

Nipo serious katika hili nipo mpweke sana kwa maelezo zaidi njoo PM.
.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom