Natafuta mke mwema

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
514
89
Mimi ni mwanaume(32).Mwajiriwa wa serikalini.Ni mweusi,mnene kiasi,mcha mungu.Napendelea mwanamke mwenye ajira serikalini.Mkristo,mcha mungu,umri(26-31).Tafadhali nina maanisha.Mwenye utayari ani PM nitampa namba ya simu yangu.
 
Hahahaa serikalini kuna marupurupu na kusaidika kujiendeleza kielemu..
 
du! vigezo vingine!! sasa akiwa serikalin sasa,harafu baadae ukimuoa hakaachishwa kazin serikalin,na wewe unampiga chini,harafu unatafuta mwingine wa serikalin,wasichana mtafakari harafu mchukue hatua
 
Hivi unapopata mwanamke kwenye NET Je mnaweza kuja kuoana,au mnaishia kungonoana tu.
 
Hivi unapopata mwanamke kwenye NET Je mnaweza kuja kuoana,au mnaishia kungonoana tu.

Mwanamume au mwanamke anatafutwa kokote bana..hayo mengine yapo tu..mnaweza kukutana kanisani still mkaishia kungonoana tu. Ngoja hizi net zitusaidie sie kizazi cha dot.com!
 
Mke mwema anatoka kwa bwana na sio humu JF.
Wewe unatabia mbaya maana wanawake wote wanaokuzunguka wanakujua tabia yako ndio maana wamekukataa.
Nenda kawaombe msamaha kati ya hao utapata kimwana safiiiii.
 
Kuna dada mmoja alikuwa anatafuta MUME hapa jana..angalia nyuzi za jana...Nadhani mtafaana. Then endeleeni kivyenu. Kila la Kheri!!

Anaitwa Mama Samwel...
 
Mke mwema hutoka kwa Bwana. Muombe utakupatia, lakini ukimtafutia humu JF mnh! sijui?
 
Mimi ni mwanaume(32).Mwajiriwa wa serikalini.Ni mweusi,mnene kiasi,mcha mungu.Napendelea mwanamke mwenye ajira serikalini.Mkristo,mcha mungu,umri(26-31).Tafadhali nina maanisha.Mwenye utayari ani PM nitampa namba ya simu yangu.

Mh, sasa si ma house girl ndo umetutosa?
 
Mke mwema anatoka kwa bwana na sio humu JF.
Wewe unatabia mbaya maana wanawake wote wanaokuzunguka wanakujua tabia yako ndio maana wamekukataa.
Nenda kawaombe msamaha kati ya hao utapata kimwana safiiiii.

Huyu bwana huyu..............hakyanani! Mie hata chichemi.........:wacko:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom