Natafuta mizigo ya gold dusts

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,604
4,360
Yoyote anayeuza au anayehusika kwa namna yoyote katika biashara ya dhahabu chafu isiyosafishwa haswa haswa vumbi la dhahabu(gold dust) awasiliane na mimi, Ninaye partner wangu mmiliki wa kampuni ya kimataifa anahitaji kununua kuanzia kilo 2 na zaidi.Yupo tayari kuweka mkataba wa muda mrefu wa manunuzi.
Kwa mawasiliano na mimi tuma email: somigroup@yahoo.com
 
Back
Top Bottom