Natafuta mchumba.

MIMI NI DADA WA MIAKA 29,MKRISTO,SINGLE,MPOLE NA MREMBO,SIJAWAHI KUOLEWA,SINA MTOTO.

NINATAFUTA MCHUMBA/MWANAUME WA KITANZANIA AISHIYE SWEDEN KWANI NDIKO NA MIMI NINAKOISHI.

NIMEAMUA KUCHUKUA UAMUZI HUU WA KUANDIKA KTK SITE HII MAANA MAZINGIRA NINAYOISHI SIKUTANI NA WEUSI WENZANGU NA SINA FEELINGS KABISA KWA WAZUNGU(IM NOT A RACIST THOUGH).

NITAFURAHI KAMA ATANIANDIKIA KIJANA ALIYE SERIOUS MWENYE SIFA HIZI;

MKRISTO,MWENYE MAKARATASI(MIMI NINAYO PIA),MWENYE KAZI,MPENDA MAENDELEO,ASIYEENDEKEZA STAREHE ZISIZO NA MPANGO,ANAYEHITAJI MCHUMBA KAMA MIMI,MUAMINIFU,SINGLE,MWENYE KUPENDA MAISHA YA UTULIVU.

EMAIL YANGU NI= vai00@hotmail.com

GOD BLESS YOU ALL.

Kwenye red hapo; je, wewe bado ni virgin? Kama hapana, ni Mswedish ndio aliyefanya kazi hiyo au mbongo kabla ya kwenda huko Sweden. Nafikiri ukienda kwenye ubalozi wa TZ huko Sweden utaambiwa kama kuna associations za watanzania then utaanzia hapo!!!
 
kwa hisani ya watu wa sweden, ubarikiwe sana. tusemeni amen

Dah! Nimeshajikomiti somewhere, otherwise ningerusha ndoano yangu kwa mdada, pengine angenikaribisha Sweden kwenda kuosha macho kidogo, maana vumbi la Bongo nalo wakati mwingine linachosha!
 
Dah! Nimeshajikomiti somewhere, otherwise ningerusha ndoano yangu kwa mdada, pengine angenikaribisha Sweden kwenda kuosha macho kidogo, maana vumbi la Bongo nalo wakati mwingine linachosha!

Masaki umehamia sweden wewe? maana hicho ni kigezo
 
Masaki umehamia sweden wewe? maana hicho ni kigezo

bht mwenzio hapo ndio pangekuwa pa kutokea, ushaambia dada tayari ana makataratasi kwa hiyo ni rahisi tu kusepa toka Bongo kwenye Uswidi!....!!!

Hivi Sweden nako wana Mzalendo Pub yao eeeeh!!!?
 
bht mwenzio hapo ndio pangekuwa pa kutokea, ushaambia dada tayari ana makataratasi kwa hiyo ni rahisi tu kusepa toka Bongo kwenye Uswidi!....!!!

Hivi Sweden nako wana Mzalendo Pub yao eeeeh!!!?

masaki baba, vigezo ni pamoja na applicant kuwa na makarati, pia awe anaishi sweeden....unafit hapo?

poor Masaki, yaani unaanza kwanza kuulizia kama wana Mzalendo Pub huh!!! wanayo hadi RG......Wewe fika tu vigezo basi
 
1.jitahidi upate unachokitaka,
2.ukiona hupati waweza kulegeza masharti.
3.pia hata baada ya kulegeza bado unaona mambo magumu itakulazimu uzidi kulegeza zaidi
nakutakia mafanikio
 
hicho kigezo cha mtu kukaa sweden,ume narow sana search yako,
usiwe mchoyo,kuna wanaume decent/wazuri wapo bongo,
ungeenda kutafuta mwenyewe bongo,
kisha uwapatie huo uraia...maisha yasonge!,
some men are worth those 'papers' na utafurahia maisha..!:smilez:
 
NINATAFUTA MCHUMBA/MWANAUME WA KITANZANIA AISHIYE SWEDEN KWANI NDIKO NA MIMI NINAKOISHI.

NIMEAMUA KUCHUKUA UAMUZI HUU WA KUANDIKA KTK SITE HII MAANA MAZINGIRA NINAYOISHI SIKUTANI NA WEUSI WENZANGU NA SINA FEELINGS KABISA KWA WAZUNGU(IM NOT A RACIST THOUGH).

NITAFURAHI KAMA ATANIANDIKIA KIJANA ALIYE SERIOUS MWENYE SIFA HIZI;

MKRISTO,MWENYE MAKARATASI(MIMI NINAYO PIA),MWENYE KAZI,MPENDA MAENDELEO,ASIYEENDEKEZA STAREHE ZISIZO NA MPANGO,ANAYEHITAJI MCHUMBA KAMA MIMI,MUAMINIFU,SINGLE,MWENYE KUPENDA MAISHA YA UTULIVU.

EMAIL YANGU NI= vai00@hotmail.com

GOD BLESS YOU ALL.
Karibu, hata mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba ila sina sifa hizo kwenye red mimi ni Mtanzania
 
Vai mimi niko bongo na nahitaji mchumba na nina makaratatisi rundo. Huenda utanirusha Sweeen. Ila tu kila nimayemuomba uchumba hukataa, ati mimi "sura mbaya"! roho nzuri. Nashukuru kigezo cha sura hukuweka, huenda nami nitafitimo...vigezo vyote natimiza kasoro cha kuwepo Sweeden.

Nipe private message tuendelee.....au ndondosha hapa bongolander@hotmail.com,
 
daaaah kama zali vile mie nna vgezo hivyo bt npo bongo we ruxha private no mie ntakuja sweeden, plz nitumie no nijeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom