Natafuta mchumba!!

M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,373
472
Kwa upande wangu kifupi.
-Jinsia: Mwanaume/ME
-Umri wangu miaka 30.
-Urefu: 173CM
-Kwa wapenda nyota mimi ni Gemini (17/june)
-Imani:Mwadventista Msabato
-Kazi: Mwajiriwa na ujasiriamali kidogo ndio unaanza.
-Kabila: Mchaga

Upande wa mtafutwaji
-Jinsia: Mwanamke/KE
-Imani: Mwadventista Msabato
Kabila-mpare will be more considered
-Umri: wowote, ila usivuke 30. Hata hivyo akiwa 25-27 itakuwa safi zaidi.
-Kama ana mtoto 1 sawa.
-Kazi: sio lazima maana kazi zinatafutwa. Ila akiwa MWALIMU nitafurahi zaidi.
-Awe mtu mwenye akili ya 'maisha ni popote'. Sio 'Dar oriented mind'.
Karibuni kwenye PM.

BWANA MUNGU IKIWA UMEIONA NIA YANGU YA DHATI, BASI NIPATIE SAWA SAWA NA MAPENZI YAKO.
 
Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona ( methew 7:7-8) yeye aichunguzaye mioyo akakupe sawa sawa na haya ya moyo wako ktk jina la Yesu,
Ameen!!
 
hapo nina sifa mbili tu,,,, umri na akili ya maisha!!!!! will u consider me????

Huenda una zaidi ya hizo ila hujajua. Na kama kweli akili zenye akili unazo basi
-ukifundishwa unafundishika
-mipango yenye akili itapangika
-utajiheshimu na kuwaheshimu watu wote
-usaliti hutofanya..na mengineyo kibao.
Basi karibu tuone dunia ikizunguka tutakuwa upande gani.
 
kila laheri mkuu ila sijajua unasali kanisa gani la SDA japo naamini mke anapatikana, popote ila nakushauri kwa hiyo imani yako sali sana na kuhudhuria kanisani, kama kanisa unalosali hujaona yapo makanisa mengi ya kisabato hapa dar, pia wasabato tuna mikutano mingi ya vijana, matamasha mbalimbali unaweza kubarikiwa, KUMBUKA USIFUNGE NIRA PAMOJA NA ASIEAMINI
 
Asante kwa ushauri mkuu. La nira nimezingatia ndio maana nimejiweka wazi hapo. Huyu Tunzo mbona kama namfahamu? Sio huyu anayeimba mass kwaya ya mbezi/kimara? Mimi nasali Moro Central, bahati mbaya mikutano sijawahi kuhudhuria zaidi ya makambi na effort.
 
Nakutakia kila la kheri ndg yng. Aombae hachoki na akichoka ameshapata. Funga na kuomba inasaidia.. Hapo kwenye kabila na kazi nimeshafelii. Maranatha....
 
Nakutakia kila la kheri ndg yng. Aombae hachoki na akichoka ameshapata. Funga na kuomba inasaidia.. Hapo kwenye kabila na kazi nimeshafelii. Maranatha....

Yesu anakuja. Hizo kabila na kazi sio must.
 
Hayaaa km kabila na kaz c must

Hujaona pale nimeandika kazi sio lazima maana zinatafutwa! Sababu ya kuitaja fani ya ualimu ni kwa kuwa nimetokea katikati ya walimu. Na naamini walimu ni walezi wazuri wa watoto. Japo kuna walimu wa mishahara pia..swala la malezi hakunaga. So japo napenda ila sio sheria za umedi na uajemi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom