Natafuta mchumba

Akida MALCOLM X

JF-Expert Member
Jul 4, 2014
483
452
Habari za wakati, kama mada inavyo jieleza.

Mimi ni baba wa Kiislam, mwenye miaka 38, nina mke na watoto watatu.

Natafuta mwanamke mjane wa Kiislam, anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka 32, akiwa na mtoto au asiye na mtoto, awe mrefu, si mnene sana wala mwembamba sana. Sichagui rangi wala kabila.

Mwenye vigezo njoo PM.
 
Aiseeee, Mkuu Hongera sana! Hivi wenzetu mnawezaje? Maana vijana wa kataa ndoa wanasagia kunguni sana taasisi ya ndoa, sasa wewe unaongeza figa lingine kabisa... Mashaallah
 
Habari za Wakati,kama Mada inavyo jieleza! Mi ni Mbaba wa Kiislam,mwenye miaka 38! Nina Mke na Watoto Watatu! Natafuta Mwanamke Mjane wa Kiislam,anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka 32! Akiwa na Mtoto au asiye na Mtoto! Awe Mrefu,si mnene Sana Wala Mwembamba Sana! Sichagui Rangi Wala Kabila! Mwenye vigezo njoo Dm!
Allah akupe mke mwema, ndugu yangu
 
Habari za Wakati,kama Mada inavyo jieleza! Mi ni Mbaba wa Kiislam,mwenye miaka 38! Nina Mke na Watoto Watatu! Natafuta Mwanamke Mjane wa Kiislam,anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka 32! Akiwa na Mtoto au asiye na Mtoto! Awe Mrefu,si mnene Sana Wala Mwembamba Sana! Sichagui Rangi Wala Kabila! Mwenye vigezo njoo Dm!
MashAllah mashAllah umeamua kutoa stara, shukrani kwa niaba ya

Ikawe kheri in shaa Allah

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Habari za Wakati,kama Mada inavyo jieleza! Mi ni Mbaba wa Kiislam,mwenye miaka 38! Nina Mke na Watoto Watatu! Natafuta Mwanamke Mjane wa Kiislam,anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka 32! Akiwa na Mtoto au asiye na Mtoto! Awe Mrefu,si mnene Sana Wala Mwembamba Sana! Sichagui Rangi Wala Kabila! Mwenye vigezo njoo Dm!
Akhi kuna jamaa yule alikua anatafuta mume wa dada ake humu humu ila uzi siukumbuki yni ni vigezo ivo ivo unavovitaka ww

Kwa anaemkumbuka yule jamaa anomtafutia stara dada ake amuunganishe huyu ndugu yetu
 
Anaitwa [mention]DR HAYA LAND [/mention]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom