Natafuta mchumba

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,194
Mimi natafuta mchumba wa kike, aliye na vigezo vifuatavyo ani-PM;- Umri kuanzia miaka 35 kuendelea na Awe hajabikiriwa.
Wasifu wangu:-
Jina:- Jsaudi
Kabila: Mgagagigikoko
Umri: Miaka 58
Picha: Picha yangu ya karibuni iko kwenye avatar yangu
Urefu: Futi 7
Urefu wa jembe: Inchi 9 na nusu - Nikipata mchumba likaanza kutumika litapungua
Matumizi ya Jembe: Halijawahi kutumika hata mara moja
Sababu ya kuchelewa kuoa: Nilikuwa natafuta mahari na sasa nimeipata
 
umeingia kwa kasi ya hajabu haya hbu nenda www.wabongomeet.blogspot.com huko utawapata wa kila sifa unayotaka mkuu
 
Mimi natafuta mchumba wa kike, aliye na vigezo vifuatavyo ani-PM;- Umri kuanzia miaka 35 kuendelea na Awe hajabikiriwa.
Wasifu wangu:-
Jina:- Jsaudi
Kabila: Mgagagigikoko
Umri: Miaka 58
Picha: Picha yangu ya karibuni iko kwenye avatar yangu
Urefu: Futi 7
Urefu wa jembe: Inchi 9 na nusu - Nikipata mchumba likaanza kutumika litapungua
Matumizi ya Jembe: Halijawahi kutumika hata mara moja
Sababu ya kuchelewa kuoa: Nilikuwa natafuta mahari na sasa nimeipata
Last edited by Jsaudi; Today at 07:44 PM.

wafikiri hiki kizazi kilicholaaniwa kinajali ukubwa wa jembe............wanachojali ni ukubwa wa pochi yako tu..................uwe na jembe usiwe nalo shauri yako......wanachotaka kujua unawea kumudu bili zao?

kama huwezi ishia.................................na umesema umekuwa ukihangaika kutafuta mahari..........................hiyo ni sifa mbaya ikimaanisha ya kuwa pochi lako dogo..........................umri wa kuanzia 58.............................nina wasiwasi na mengi juu yako.....................could be dealing with a serial rapist in our midst
 
wafikiri hiki kizazi kilicholaaniwa kinajali ukubwa wa jembe............wanachojali ni ukubwa wa pochi yako tu..................uwe na jembe usiwe nalo shauri yako......wanachotaka kujua unawea kumudu bili zao?<br />
<br />
kama huwezi ishia.................................na umesema umekuwa ukihangaika kutafuta mahari..........................hiyo ni sifa mbaya ikimaanisha ya kuwa pochi lako dogo..........................umri wa kuanzia 58.............................nina wasiwasi na mengi juu yako.....................could be dealing with a serial rapist in our midst
ameona ametuogopesha na kajembe kake hako ka kupalilia....acha longolongo wewe.....tembo kadi masta kadi ndio mpango mzima....na uwe tayari kununua malace wigs...sio ushangaeshangae hapa....kama unafika bei....twende kazi...
 
Hahahaha... Mi ntakuwa mshenga!.. Pia usinisahau kwenye kamati..
 
Mmmh,, hilo jembe mpaka sasa bado jipya naona jembe halilimi utatuharibia bustani zetu na mashamba ndio kabisa kulima naona weye zero...miaka umesema 58 duh maisha yenyewe haya yakupumulia machine siunataka kumpa mtu kesi ya mauwaji wewe mana utamfia katikati ya bao manake hapo sukari unayo presha ndio usiseme.ukizingatia pesa zamanati.....
 
I think u meant to make us laugh....! But its just nt easy u knw! Being a comedian is a talent...even making up a joke needs a talent too!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom