Natafuta mchumba wa kike

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Hey.
Nina mke na watoto3,sasa naitaji kuongeza mke wa pili.dini yangu ni islamic,awe muislam pia aliyesoma dini japo kidogo.
Elimu ya dunia ni japo kiwango cha kujua kusoma na kuandika.
Umri usizidi miaka 24,awe mrembo mpaka moyoni.
Awe swala5.
Awe anajitegemea,awe tayari kua mke mwema,
Mm kazi yangu ni mkulima,nipo dar,aliyetayari anitumie email(omuchana@yahoo.com)nipo serious sana.
Nataraji kumpata aliye mwema.
 
Mkulima Dar?
Unasaidiana na ujenzi kulima lami?

Sema wazi, unatafuta mtu wa kukusaidia kulea familia yako.
 
Nimesema hivi,kazi yangu ni mkulima na nnaishi dar,so aijarishi ninalima wapi,anyway,ninalima mihogo kisarawe.
 
nijitegemeee? kisha niwe second wife?
nafaidi nini hapo? .
 
Hey.
Nina mke na watoto3,sasa naitaji kuongeza mke wa pili.dini yangu ni islamic,awe muislam pia aliyesoma dini japo kidogo.
Elimu ya dunia ni japo kiwango cha kujua kusoma na kuandika.
Umri usizidi miaka 24,awe mrembo mpaka moyoni.
Awe swala5.
Awe anajitegemea,awe tayari kua mke mwema,
Mm kazi yangu ni mkulima,nipo dar,aliyetayari anitumie email(omuchana@yahoo.com)nipo serious sana.
Nataraji kumpata aliye mwema.

mahbuba....funga thread.....
usimsikilize yoyote....mie ndo ushanpata.....
la aziz.....picha yangu ndio hiyo hapo......nimekutumia full blood picture....ili uamue hapa hapa...ka wanchukua....wallah nshakuchunuku....

6jYVJmZqhq5agh8p6epWWeRVo1_500.jpg

Mhh!mbona hauna sifa za kike?????
Jamani ehee,mie natafuta mke,siyo dume jenzangu ebo?
 
Hey.
Nina mke na watoto3,sasa naitaji kuongeza mke wa pili.dini yangu ni islamic,awe muislam pia aliyesoma dini japo kidogo.
Elimu ya dunia ni japo kiwango cha kujua kusoma na kuandika.
Umri usizidi miaka 24,awe mrembo mpaka moyoni.
Awe swala5.
Awe anajitegemea,awe tayari kua mke mwema,
Mm kazi yangu ni mkulima,nipo dar,aliyetayari anitumie email(omuchana@yahoo.com)nipo serious sana.
Nataraji kumpata aliye mwema.

he he he he he unachekesha bwana shamba....maana unatafuta mke kwa staili za kwenye muvi za kinigeria aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom