Natafuta mchumba wa kike 20-30yrs, sijatahiriwa lakini

Joseph Kasa-Vubu

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
212
322
Mimi ni kijana, 28 yrs of age natafuta mchumba wa kike mwenye umri wa miaka 20-30. Niko Sirari mkoani Mara.

Aliye tayari anipm kwa maelezo zaidi
 
Hutaki kutahiriwa au upo tayari kutahiriwa? Kama upo tayari kutahiriwa kusingekuwa na ulazima WA kutangaza hujatahiriwa ungetahiriwa kwanza Kwa ajili ya usafi binafsi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom