Natafuta mchumba/ mume wa ndoa

foibe

Member
May 24, 2011
7
11
Wapendwa wana JF,

Hii ni post yangu ya kwanza, lakini sio mgeni sana humu Jf kwa sababu nilikuwa naingia kama mgeni.

Najitokeza jamvini kutafuta mkaka au mwanaume ambaye ana lengo la kufunga ndoa nami. Kifupi wasifu wangu ni kama ufuatao:

1. Nina miaka 25, mnene kiasi, urefu wa 165 cm.
2. Elimu yangu ni kidato cha nne.
3. Sijawahi kuolewa au kuwa na mtoto,
4. Rangi yangu ni maji ya kunde.
5.Dini yangu ni mkristo wa roman catholic.

Mume ninayemtaka:
1. Awe mwenye upendo wa kweli,
2. Awe tayari kupima afya zetu kabla hatujakutana mapenzi
3.Awe na kipatocha kuwezesha tuishi maisha bora na sio bora maisha.
4. Sichagui dini, kabila
5. Elimu yake ianzie kidato cha nne na kuendelea.

Kwa mkaka anayejiona yupo serious naomba anitumie msg / pm lakini kama haupo seious naomba usipoteze muda wako coz sitaki kuchezewa kama mpira.

Asanteni, na karibuni sana.
 
Una chumba cha kulala msije oana mkaenda kwa wazazi wenu hiyo atupendi...
 
Uwiiii! Nimeshapata mke, mie dada sifa zangu ni hizi hapa
1. Nina upendo wa kweli,
2. Niko tayari kupima afya zetu kabla hatujakutana mapenzi
3.Nina kipato cha kuwezesha tuishi maisha bora na sio bora maisha.
4. Sichagui dini, kabila
5. Elimu yangu ni kidato cha nne na kuendelea.

nataka tuwe wazi kama tulivyokutana hapa JF kwa uwazi! Unanikubali?
 
Wapendwa wana JF,

Hii ni post yangu ya kwanza, lakini sio mgeni sana humu Jf kwa sababu nilikuwa naingia kama mgeni.

Najitokeza jamvini kutafuta mkaka au mwanaume ambaye ana lengo la kufunga ndoa nami. Kifupi wasifu wangu ni kama ufuatao:

1. Nina miaka 25, mnene kiasi, urefu wa 165 cm.
2. Elimu yangu ni kidato cha nne.
3. Sijawahi kuolewa au kuwa na mtoto,
4. Rangi yangu ni maji ya kunde.
5.Dini yangu ni mkristo wa roman catholic.

Mume ninayemtaka:
1. Awe mwenye upendo wa kweli,
2. Awe tayari kupima afya zetu kabla hatujakutana mapenzi
3.Awe na kipatocha kuwezesha tuishi maisha bora na sio bora maisha.
4. Sichagui dini, kabila
5. Elimu yake ianzie kidato cha nne na kuendelea.

Kwa mkaka anayejiona yupo serious naomba anitumie msg / pm lakini kama haupo seious naomba usipoteze muda wako coz sitaki kuchezewa kama mpira.

Asanteni, na karibuni sana.

nathani kwa atakayetaka kukuchezea au kukutumia kama mpira, ni wewe ndio utakayepotezewa muda na si yeye, kwasabu yeye anakuwa bado yupoyupo
 
Wapendwa wana JF,

Hii ni post yangu ya kwanza, lakini sio mgeni sana humu Jf kwa sababu nilikuwa naingia kama mgeni.

Najitokeza jamvini kutafuta mkaka au mwanaume ambaye ana lengo la kufunga ndoa nami. Kifupi wasifu wangu ni kama ufuatao:

1. Nina miaka 25, mnene kiasi, urefu wa 165 cm.
2. Elimu yangu ni kidato cha nne.
3. Sijawahi kuolewa au kuwa na mtoto,
4. Rangi yangu ni maji ya kunde.
5.Dini yangu ni mkristo wa roman catholic.

Mume ninayemtaka:
1. Awe mwenye upendo wa kweli,
2. Awe tayari kupima afya zetu kabla hatujakutana mapenzi
3.Awe na kipatocha kuwezesha tuishi maisha bora na sio bora maisha.
4. Sichagui dini, kabila
5. Elimu yake ianzie kidato cha nne na kuendelea.

Kwa mkaka anayejiona yupo serious naomba anitumie msg / pm lakini kama haupo seious naomba usipoteze muda wako coz sitaki kuchezewa kama mpira.

Asanteni, na karibuni sana.
Anataka maisha bora,jitokezeni jamani!!
 
mhhh! ulikuwa haujampata,co kesi kama unataka kumpata tokelezea number yako ya simu then pipo kama zitajitokeza hvi?
 
mimi naweza kuwafunika waliotangulia..ila umri wangu ni tatizo kidogo..kama hujapata ni pm tudiscuss,elimu yangu inatosha.karibu dada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom