Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).

Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).

Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).

Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.

Kama utakuwa interested ni-pm.
IS THIS A VACANCY AD?????
 
Hayo masharti mengi ndo yanakufanya uchezewe tu kila mara
Hakuna aliyenichezea ila mm ndie sipendi kuolewa na mtu asiekuwa chaguo langu kutoka moyoni,,,coz kama weye sifa za kawaida km ww nimekutana nao wengi na husband material ,,sema sipo tayar,,sijataka kuongeza namba ya mahusiano ndo maana nkaandika iyo only two men.
 
'If that’s how you think about your perfect husband material, you’re at great risk of never getting your wish'
think about that too.
 
t
what is the point in getting married to a person you do not love? Emotional feeling is very important in marriage relation.
'WE OFTEN DONT GET WHAT WE WISH FOR'
That is why i have tried my best to see if i can get that person through MMU and see if we can bond,,,
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).

Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).

Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).

Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.

Kama utakuwa interested ni-pm.

dah yote yalikuwa njema mpaka hapo "kufanya nilishafanya yaani ku do" hao maex wako kweli hawatakuwa tatizo?
 
My dear you are chasing nothing but a fantasy

Are trying to tell me there is no a single man from 30 and above, with job, a Christianity (Lutheran- KKKT) ,from kagera, msoma, mwanza, mara, mwembamba , mrefu kiasi,,mpole,,???education -degree level????
 
Mimi nimesema nilisha do. tayari kwa iyo haina shida ya shuka jeupe, pia picha siweki maana nahitaji mtu wa kunitrust kweli kwanza , na tatu mm sio mzuri sana , ni wa wastani , mwembamba afu maji y a kunde ila sina sura mbaya pia kwenye hilo group simo,, ni wa kati
Hivi wewe unaitwa miss Tarented ama miss Talented.?! Hivi Tarented ina maana gani kwa Kihaya?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom