Natafuta mchumba hapa Jf chit chat

hivi wadada kwa nn hamkemei hili?...siku hizi mnatafutwa kama mzigo uliopotea...MCHUMBA ANATAFUTWA...tena kwa herufi kubwa!..boh!

Nashanga!
Me nadhani anatafuta wa short time na si wa Permanent.
Mchumba Mchezo ee!
BAGAH,Mpeni Course.
Akishindwa anitafute nimpeleke kwa Wahaya Mwananyamala.
LOL'EST.....!!!!!
 
we mwanamke yote haya yametokea wap?unataka unipeleke umalayani kwa wahaya?huko sitaki bali nataka mchumba hapa Jf
 
Nashanga!
Me nadhani anatafuta wa short time na si wa Permanent.
Mchumba Mchezo ee!
BAGAH,Mpeni Course.
Akishindwa anitafute nimpeleke kwa Wahaya Mwananyamala.
LOL'EST.....!!!!!

mchumba anatafutwa nimeona tangazo kwenye gazeti la KIU madame B

hebu chukua hii kitu mpeleke mwananyamala fasta akapewa mambo ya KATEREROO!
 
Last edited by a moderator:

Umeona ee BAGAH,
Kaacha wachumba kijijini kwao,anakuja kutusumbua mjini hapa.
Mwambie Aje kwangu faster nimkodie Bajaj aende kupatiwa Katerero.
Aache kutusumbua madada wa mjini.
 
Last edited by a moderator:
Mm khalifa Saidi (28) najitokeza natafuta mchumba msichana muislam umri 18 - 22, awe mweupe wa asili, mwembamba ila napenda sura nzuri, shep inamata, aliotayari anitafute kupitia 0689 857 985, Email: halsalha2012@gmail.com. mm ni maji ya kunde, sio mnene,mrefu wastani, maisha ninayoishi ya kawaida mm sio tajiri, nimejiari, kwa mkiristu kama atapenda kubadili dini poa. Nina amini mchumba anatoka popote hata bar inawezekana.
 
Unaoa shepu na sura au unaoa tabia.
Pale Hongera Bar wamejaa wa dizaini hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom