Hahhahaha! Mimi ni mbongo mkuu na kesho ndio nitakuwa free kuzunguka around.
Thanks though!
Hapo nimekaa kama mwaka mzima , kama unafikia Hotel jaribu kuitafuta Hotel moja ndiyo inapendelewa sana na waTz, it know as WARWICK DENVER HOTEL 1776 GRANT STREET it's located just above downtown in Denver, trendy uptown neighborhoods , short stroll to 16th street mall state capitol downtown aquarium Colorado.
Hata na Hotel yenyewe ina mvuto sana having much attraction such as shoppin , landmarks , museums entertaiment & sports venue.
Thanks mkuu ntaenda kupasaka kesho for sure! Hotel niliyofikia iko mbali kidogo na downtown ila haidhuru misele kama kawa!
Thanks mkuu, by the way maeneo gani ni mazuri kufanya shopping?
Haya bana. Jg nisaidie ni wapi huko?
Western United States.
Denver ni Capitol city ya Colorado State.
Inapakana na States 6!
Arizona , Nebraska, New Mexico , Utah, Kansas na Oklahoma.
ooh sawa sawa nimeelewa sasa. Thanks alotz
Afu kama unataka kula bata, huko ndo utawakimbia!
Afu kama unataka kula bata, huko ndo utawakimbia!
Dah huko mnapopazungumzia ni noma, hadi ufike huko unakaa kwenye ndege hadi makalio yanawaka moto,,,, atleast wenye mikono mirefu wanajata business class, wenzangu na mimi full mateso,,, sina hamu kabisa na safari za america hasa nikifikiria umbali...