Natafuta mbegu ya Maharage aina ya Fiwi

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,371
3,946
Habari wakuu,

Nahitaji mbegu ya maharage aina ya fiwi nataka nijaribu,ila nahitaji mbegu inayozaa sana,achana na zile za Hedaru,kama unafahamu naipaje[wapi],usisite kuwasiliana na mimi. Asante sana.

IMG-20231011-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom