Natafuta Marafiki Arusha

Wewe mwenyewe uko smart kichwani? How many books have you read so far wewe book worm?
 
Habari zenu wapendwa,Poleni na kazi au shughuli tofauti tofauti.

Niko Arusha and natafuta marafiki both wanawake na wanaume.Sijali umri ila napendelea watu smart kichwani yaani intelligent people.

I am ready to meet and make new potential friends.

Kuhusu Mimi

1.Mwanamke
2.Almost 30 yrs
3.Employed
4.Book worm
5.Napenda mambo ya kijasusi sana.

Karibuni.
Utawapata.

Babe Depal hutaki new friends? ❤️
 
Habari zenu wapendwa,Poleni na kazi au shughuli tofauti tofauti.

Niko Arusha and natafuta marafiki both wanawake na wanaume.Sijali umri ila napendelea watu smart kichwani yaani intelligent people.

I am ready to meet and make new potential friends.

Kuhusu Mimi

1.Mwanamke
2.Almost 30 yrs
3.Employed
4.Book worm
5.Napenda mambo ya kijasusi sana.

Karibuni.
Dr Tu vibe nipo Arusha pia

Sakina moja jumapili tuonane hata rafiki au bills tukafanye ujasusi dr
 
Back
Top Bottom